Daily Archives: December 15, 2015

AN UNDERGROUND ARTIST NAMED LIL FELLY RELEASES A DISS TRACK AIMED AT KHALIGRAPH JONES, KAKA SUNGURA AND JULIANI

The song is titled Unruly King and it’s a diss to Khaligraph, Kaka Sungura, Juliani and the rest of the artists who are in the music industry.

Download the song here and give it a listen, won’t you?

http://mdundo.com/dl/43216/low

image

Here are the lyrics to the song:

Flow imejaa garbage niliachia Nairobi River,
We’ hushinda gym na huwezi punch line we’ ni diva,
Unajichocha na delivery,
Nani empty package una deliver,
We’ jiite tu Evil na ulimadwa na conscious nigga,
And by the way, I was never your friend so huwezi
niita Judas juu sijakusaliti,
Najua itakuwa hard kuni stand,
So itabidi umekalia kidole cha kati,
Mi’ ndio KING though single,
So mi’ hu ride wako Nefertiti,
Na nina mabeshte kaa 90
so huwezi kuwa rafiki yangu wa 30 (Thati)
Buda! is there something we should know?
Juliani aliuliza na haukujibu swali,
So na assume we ni Homo,
Juu uli openia 2chainz na kwali,
Reason siwezi buy mix uko ndani afadhali mix ugali,
buda! endeleeni kuniita internet rapper,
Bora nilishaa wa murder social media,
Nimekam fishin’ juu mme turn rap lake Victoria,
Huwe small fish au big fish,
Siitaji Verses juu nawa murder na hook,
Napia uliza Stitch,
Sipendi vitabu though dem yako alishaa ni book,
Nigga! unadai biz na Kanye?
Na zako nikuwaste beat,
Hata kwa tracks 105,
Hakuna Moja classic,
Ndio Maana kuku defeat siitaji beat iko na kick,
And if it wasn’t for homeboyz buda hungewahi hit,
Homeboyz made you,
So you prolly depend on radio,
Wewe bado mtoto  kwa rap,
Kwanza pata chanjo ya polio,
Alafu internet rapper nigga thats what you call me,
When you pay to be online while I get paid homie,
Unaeza niita hero design nalipwa Heshima,
And by the time am done with you,
1960 itakuwa Hiroshima,
We was never close,
So i’ma hitchu harder than yo nigga Kayvo,
And i don’t do Gospel nigga,
So expect Felly to be Evil,
Too many niggas to diss,
Though itabidi wengine niwa dismiss,
Cause bado nima Mrs kwa diss,
Alafu huyo fala anajiita chief,
Mshow aka rock makarau,
And I hope mnajua nikifunga room16,
Wengi wenyu watakosa Makao,
yeah,
Mi’ ndio kale ka hater,
Na nilishaa Toka cyber,
Bado hauja fly Niger na Dar?
Bado hauja peleka matha shoppin’ Naivas?
mayne you just a braggin’ rapper,
And i’ma make you trip,
So you can join kina Tio Tripper,
Saahii nina private jet,
Nina trailer za biz,
Nakaa ni kwa street,
Nipate ndani ya the beast,
So siwezi get personal,
Though siwezi mind,
Juu hata ujiite AK47 huwezi join arsenal,
Nanyi Ma upcomin’ mnanidiss,
I hope mnajua Kumamoto ni place,
So I hope nikikushow kumamako,
hauta catch, juu huenda ni place,
Nivile haujafanya research,
This time nime throw,
So mnaeza catch,
Sikuwa nimepiga order,
Na mme come too much,
And never call yourself upcomin’,
When up you ain’t comin’ Biatch!!!
.
.
Wanyama wote waka rule porini,
Umenikanyagia airplay,
Lakini bado nachezwa na rubani,
we’ ni rapper hivihivi,
Change style buda we’ ni rapper wa aina gani?
Endelea na poetry juu rap hauko,
Face to face nakukill,
Hata ukuje na Mistari za shiko na flow ya Brian Ouko,
Haukujua naeza flow na kiswahili,
Ng’ombe wewe,
Naulumu wako wazazi kwa kuuza ng’ombe,
Wapeleke ingine shule,
ati manzi ya nani kiraka,
Na huyo wako juu chini anakaa kidole gumba,
Hata naskia ushaakuwa gay,
Ndio maana Raj alikushow tuliza nyege buda,
We’ endelea kukanyagia ma upcomin’ wasiwahi penya,
Alafu unatufumba macho na kidole cha kati kwa ma presenter hawachezi kenyan,
Buda,
haukufunzwa na wazazi?
Basi mi’ ndio wako teacher,
Negative, Huwezi nimaliza kwa kuchoma picha,
After umeskia hii ndio utajua kutangulia sio kufika,
Cause by the time inafika Jan,
Mi’ ndio ndakuwa nimewazika,
All this while umekuwa kwa jam,
umefika tu juzi,
after umedandia mathree juu hauna fare,
Na huwezi afford Taxi ama nduthi,
Now tell us nani hao wanalipa Six times kwa gate,
Kama sio followers wanao follow ass,
Yenye uliwa promise,
Ukaiita promised land,
Buda! bado unastack ma Singer?
Haujatosheka na mavocal,
Believe me you can never be rich,
Hata ukisign Mavoko,
nimecheki umenyoa saahii Kichwa safi naeza kupiga mangoto,
Na hata tukipatana ololoo,
Buda hauniwezi mkono,
Ati unataja hadi babu???
Chunga ulimi ama utakula visu zingine juu nikaa haukushibishwa na mbili,
Na hizo ngoma zako,
Zinaeza hit tu kwa mama pima,
Ati unasonga Kama sima,
Ati una ngoma na chidinma,
Buda!!! mbona hauku nominatiwa Afrimma,
hata saahii ukidai collabo,
itabidi nimeku charge juu nikaa umeisha battery,
And how to make it boy,
I don’t need a sympathy track like betty,
Bwoy,
yeah.
Hii Najua hamuwezi reply
hata niwapatie free SMS, free minutes na free wifi,
Nakaa nikureply make sure ni before Jan,
Cause from next year mayne,
I’ll be a business man,
(Napia Family Man)
This the one and only,
The one & Only King
The unruly King,
Lil Felly,
Young DreaMer
Yeah
Truce Label.

%d bloggers like this: